Connect with us

Audio: Lugano Kapologwe – Nikujue | Download

Lugano Kapologwe - Nikujue

Muziki

Audio: Lugano Kapologwe – Nikujue | Download

Lugano Kapologwe - Nikujue

Kutoka Mwanza Tanzania, gospomedia.com leo inautambulisha kwako wimbo mpya uitwao Nikujue kutoka kwa muimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Lugano Kapologwe, wimbo huu umetengenezwa chini ya mikono ya producer Johnson Kimaro.

Akiongea na gospomedia.com muimbaji Lugano Kapologwe amesema kuwa wimbo huu ni wenye mahadhi ya kuabudu uliyojaa uwepo wa Mungu kwa mashairi na ala za muziki zilizopangiliwa katika wimbo huu, na anaamini kuwa kupitia wimbo huu watu wengi watabarikiwa na kuinuliwa kiroho na kimwili kila wakati watakapokua wanasikiliza wimbo huu ambao anaamini una nguvu za Roho Mtakatifu ndani yake.

gospomedia.com tunakukaribisha kuusikiliza na kupakua wimbo huu wa Nikujue kutoka kwa muimbaji Lugano Kapologwe kisha mpe sapoti yako kwa kuwashirikisha watu wengine wengi wimbo huu kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wote duniani na hakika utabarikiwa na kuinuliwa zaidi. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na Lugano Isaiah wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 764 047 933
Facebook: lugano.kapologwe
Instagram: @luggy40
Youtube: Lugano Isaiah

Continue Reading
Advertisement
You may also like...
Advertisement

TRENDING

To Top