Advertisements
Connect with us

Audio: Kebee – Safe

Audio

Audio: Kebee – Safe

Kutoka nchini Nigeria leo tumekusogezea wimbo mzuri wa Ibada uitwao Safe ulioimbwa na mwimbaji Kebee aliye chini ya lebo ya Omni Muzic.

Licha ya hali yoyote unayopitia kabidhi maisha yako kwa Mungu ambaye atakuongoza wewe na kamwe huwezi kuwa na hofu, kukuongoza, huwezi kamwe kuwa na hofu. #SAFE

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri ambao ni hakika utabarikiwa sana, Amen.

 

Social Media Connection:
Facebook: Mr Kebee
Instagram: @mrkebee

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP TRENDING

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,277 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top