Connect with us

Audio: Juliana Mathias-Tangu Nikujue Yesu

Muziki

Audio: Juliana Mathias-Tangu Nikujue Yesu

Kutoka Dar es salaam Tanzania gospomedia.com leo inamtambulisha kwako mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Juliana Mathias wimbo huu mpya unaitwa Tangu Nikujue Yesu ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya Sharom chini ya mikono ya producer Eddo Montana iliyopo jijini Dar es salaam.

Akiongea na gospomedia.com Juliana Mathias amesema kuwa wimbo huu unapatikana kwenye album yake mpya inayobeba jina hilo la Tangu Nikujue Yesu ambayo inapatikana kwenye maduka mbalimbali ya usambazaji na amewataka wadau na wapenzi wa muziki wa Injili wampe sapoti ya kutosha kupitia kazi yake ya kumtumikia Mungu kupitia uimbaji kwakuwa anaamini ndio kazi aliyoitwa na Mungu ili kuja kuifanya hapa duniani na anaamini kupitia album yake hiyo watu wengi watabarikiwa na kuinuliwa sana kwakuwa ni album ya kipekee sana yenye mkusanyiko wa nyimbo za kusifu na kuabudu.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Tangu Nikujue kutoka kwa mumbaji Juliana Mathias na usiache kumpa sapoti kwa kuwashirikisha wengine wimbo huu kwa kadri uwezavyo ili Injili iweze kuwafikia wengi zaidi na hakika utabarikiwa sanaKaribu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Juliana Mathias kupitia
Simu/WhatsApp: +255 656 851 380
Instagram: @officialjuliana_mathias

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top