Connect with us

Audio | Jackson Josh – Niongoze Yesu

Muziki

Audio | Jackson Josh – Niongoze Yesu

Kutoka jijini Dar es salaam, leo kwa utukufu wa Mungu nimekuletea wimbo mzuri sana wa kuabudu uitwao Niongoze Yesu kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Jackson Josh.

”Niongoze Yesu ni wimbo ambao unaonyesha ni jinsi gani tunamuhitaji Mungu kwa kila kitu tunachokifanya hapa Duniani iwe ni masomo yetu, kwenye biashara zetu, familia zetu na chochote kile tukitakacho na kukifanya ni hakika kwa asilimia mia moja tunamuitaji Mungu atuongeze ili tuweze kutenda kwa usahihi na kuwekwa mbali na majaribu ya adui shetani” – Alisema Jackson Josh

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza wimbo huu, Barikiwa!

 

Connect:
WhatsApp: +255 715 095 223
Facebook: Jackson Joshua
Instagram: @jacksonjoshtz
YouTube: Jackson Josh
Twitter: @jacksonjoshtz

Advertisement

TRENDING

To Top