Connect with us

AUDIO: Iman Victor – Unijaze | Download

AUDIO: Iman Victor - Unijaze | Download

Muziki

AUDIO: Iman Victor – Unijaze | Download

AUDIO: Iman Victor - Unijaze | Download

Kutoka jijini Mwanza Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili za kusifu na kuabudu anayefahamika kwa jina la Iman Victor wimbo huu unaitwa Unijaze ukiwa umetengenezwa na producer Justin Rider kutoka Zoo Records iliyopo jijini Mwanza.

Akongea na gospomedia muimbaji Iman Victor amesema kuwa “Wimbo huu ni maombi kwa roho mtakatifu kutujaza nguvu zake na kukaa nasi kila wakati, kwani bila yeye hatuwezi lolote, tunahitaji sana roho mtakatifu.” alisema muimbaji Iman Victor.

Karibu kusikiliza wimbo huu Barikiwa!

Kwa mawasiliano zaidi na Imani Victor wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 757 886 756
Facebook: Imani Victor
Instagram: @ministerimanivictor
Youtube: Imani Victor

GUARDIAN ANGEL - NI TABIBU_audio

Muziki

AUDIO | GUARDIAN ANGEL – NI TABIBU

By September 22, 2021

TRENDING

To Top