Habari

AUDIO: GODLUCK GOZEBERT: MSANII WA GOSPO ANAYETIKISA KWENYE MAANDISHI YA BONGO FLEVA.

“Ni kweli kwa habari ya uandishi nafanya…ukizungumza kwa habri ya wasani wa Bongo Flava tayari nimesha waandikia nyimbo (MO MUSIC-BASI NENDA) pia nikaandika wimbo wa (ALMASI’ wa MO MUSIC) na nimeshiriki katika wimbo wake mpya (NITAZOEA)

Kwa habari ya kuandika nyimbo yaaa naandika most of them wanashindwa kufikia vitu tulivyo kubaliana,mimi ni mtu wa Gospel so unaweza kuleta idea like unataka nikuandikie vitu flani ambavyo mimi sikubaliani navyo mf: vitu vya ulevi au vitu vina amasisha labda mambo ambayo sifanani nayo siwezi kukubaliana navyo kwakua mimi nime okoka.Mpaka sahizi nimeandika nyimbo nyingi lakini sito zizungumzia sana ila kwa nyimbo ambazo tayari nimeandika na zimefanya vizuri sokoni kuna ALMASI YA MO MUSIC BASI NENDA YA MO MUSIC alafu na hiyo SIACHANI NAWE YA BARAKAH DA PRINCE”,hayo ni baadhi ya maneno aliyoyasema Godluck kwenye audio hapo chini,chukua muda kusikiliza.

SOURCE:UNCLEJIMMY.COM

Advertisements
Previous post

VIDEO: BARNABA CLASSIC KUHAMIA KWENYE MUZIKI WA INJILI?

Next post

VIDEO: ASTAR & MERCY NJOKI