Connect with us

Audio: Frank Edwards – Chioma

Frank Edwards Chioma

Muziki

Audio: Frank Edwards – Chioma

Frank Edwards Chioma

Mwimbaji maarufu kutoka nchini Nigeria Frank Edwards kwa mara nyingine tena ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Chioma(Good God).

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao tunaamini kuwa utakubariki kwa namna ya pekee, Amen.

 

Social Media
Facebook: Frank Edwards
Instagram: @frankrichboy
Twittter: @frankrichboy
YouTube: FRANK EDWARDS

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top