Connect with us

Audio | EllyJoh ft. Cassian – Upendo

Audio | EllyJoh ft. Cassian - Upendo

Muziki

Audio | EllyJoh ft. Cassian – Upendo

Audio | EllyJoh ft. Cassian - Upendo

Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili yenye mahadhi ya HipHop anayejulikana  kwa jina la EllyJoh akiwa amemshirikisha muimbaji anayefahamika kwa jina la Cassian katika wimbo huu unaoitwa Upendo ukiwa umetengenezwa na producer Innocent Mujwahuki kutoka studio za Pushup Record.

“Hakuna Upendo mkuu zaidi ya Upendo wa Mungu hapa duniani hata mbinguni hivyo binadamu wote wanatakiwa kupendana wao kwa wao ili kuukamilisha utukufu wa Mungu, mimi Elly Joh leo nakusihi kuonyesha Upendo wako kwa yeyote umpendaye kupitia wimbo wangu huu mpya ambao utakuwa baraka kwako na kwa wote watakaosikiliza nikutakie siku njema ya mapendo.” – Elly Joh

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa, Eimen.

 

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na EllyJoh kupitia
Simu/WhatsApp: +255 717 342 232
Facebook: Elly Joh
Instagram: @ellyjoh
YouTube: EllyJoh

GUARDIAN ANGEL - NI TABIBU_audio

Muziki

AUDIO | GUARDIAN ANGEL – NI TABIBU

By September 22, 2021

TRENDING

To Top