Connect with us

Audio: Elizabeth Kasase – Songa Mbele

Elizabeth Kasase - Songa Mbele

Muziki

Audio: Elizabeth Kasase – Songa Mbele

Elizabeth Kasase - Songa Mbele

Kutoka Dodoma Tanzania mwimbaji wa nyimbo za Injili Elizabeth Kasase kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 ameachia wimbo wake mpya uitwao Songa Mbele.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utakubariki na kukuinua, Amen.

 

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Elizabeth Kasase kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 759 978 836
Facebook: Elizabeth Kasase
Instagram: @elizabethkasase
Youtube: Elizabeth Kasase

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top