Video | Audio: Atosha Kissava - Nakuamini Mungu - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Atosha Kissava – Nakuamini Mungu

Video

Video | Audio: Atosha Kissava – Nakuamini Mungu

Leo ikiwa ni siku muhimu sana kwa wakristo wote ulimwenguni katika kuadhimisha ukumbusho wa kifo cha Yesu Kristo, mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili kutoka jijini Dar es salaam anayefahamika kwa jina la Atosha Kissava ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Nakuamini Mungu, video ikiwa imeongozwa na director Nyatta kutoka studio za Sky Media.

“Ifurahie pasaka yako kwa USHINDI MKUU wa kuyashinda yote yanayotaka kukuyumbisha, #NAKUAMINI MUNGU nikutakie #PASAKA NJEMAAA!!” – Atosha Kissava

Huu ni wimbo wa sifa na kuabudu, Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama na kupakua wimbo huu ambao nina imani utakubariki na kukuinua sana tukiwa tunaikaribia Pasaka, Mungu akuguse na akufikishe salama.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Atosha Kissava kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 719 926 175
Facebook: Atosha Kissava
Instagram: @atoshakissava

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

More in Video

To Top