Audio: Athanas Yakobo - You Love Me - Gospo Media
Connect with us

Audio: Athanas Yakobo – You Love Me

Audio

Audio: Athanas Yakobo – You Love Me

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya katika huduma ya muziki nchini Tanzania akifahamika kwa jina la Athanas Yakobo ambaye kwa mara ya kwanza ameachia wimbo wake mpya wa Ibada uitwao You Love Me, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Golden Fingers.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri tukiamini kuwa utakugusa kwa namna ya kipekee, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasilianA zaidi na mialiko ya kihuduma watiliana na mwimbaji Athanas Yakobo kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 656 260 555
Facebook: Athanas Yakobo
Instagram: @athanasyakobo
Youtube: Athanas Yakobo

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top