Connect with us

Audio: Athanas Yakobo – Unaweza

Athanas Yakobo - Unaweza

Muziki

Audio: Athanas Yakobo – Unaweza

Athanas Yakobo - Unaweza

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tumekusogezea wimbo uitwao Unaweza kutoka kwa mtumishi wa Mungu Athanas Yakobo, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Golden Fingers.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu uliobeba habari njema tukiamini kuwa utakugusa kwa namna ya kipekee, Amen.

Kwa mawasiliana zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Athanas Yakobo kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 656 260 555
Facebook: Athanas Yakobo
Instagram: @athanasyakobo
Youtube: Athanas Yakobo

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

GUARDIAN ANGEL - NI TABIBU_audio

Muziki

AUDIO | GUARDIAN ANGEL – NI TABIBU

By September 22, 2021

TRENDING

To Top