Connect with us

Askofu Shoo aonya viongozi wa dini wanaopinga chanjo ya Corona

Askofu Shoo aonya viongozi wa dini wanaopinga chanjo ya Corona

Habari

Askofu Shoo aonya viongozi wa dini wanaopinga chanjo ya Corona

Mwenyekiti Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Dkt.Fredrick Shoo amehimiza wananchi kuendelea kujikinga na wimbi la tatu la Corona na kusisitiza kuendelea na maombi ya kufunga na kutubu, ili kujinusuru na janga hilo huku akiwaonya viongozi wa dini kuacha kuhusisha suala la chanjo ya Covid 19 na mpango wa shetani na kudai huko ni kumjaribu Mungu.

Chanzo: ITV

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

GUARDIAN ANGEL - NI TABIBU_audio

Muziki

AUDIO | GUARDIAN ANGEL – NI TABIBU

By September 22, 2021

TRENDING

To Top