Connect with us

Audio: Ashlee Glam – Amen

Ashlee Glam – Amen

Muziki

Audio: Ashlee Glam – Amen

Ashlee Glam – Amen

Baada ya kuachia wimbo uitwao Headline News mwezi machi 2019 kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili Ashlee Glam kutoka nchini Switzerland ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Amen.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao tunaamini kuwa utakubariki, Amen.

 

Social Media Connection:
Facebook: Ashlee Glam
Instagram: @ashlee_glam
Twitter: @ashleeglammusic

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

GUARDIAN ANGEL - NI TABIBU_audio

Muziki

AUDIO | GUARDIAN ANGEL – NI TABIBU

By September 22, 2021

TRENDING

To Top