Connect with us

Audio: AnuBewaji – We Believe

Audio

Audio: AnuBewaji – We Believe

Kutoka nchini Nigeria kwa mara ya kwanza tumekusogezea wimbo mpya uitwao We Believe kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili, mwandishi na mhamasishaji anayefahamika kwa jina la AnuBewaji, Muziki huu umetayarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Wole Oni.

We Believe ni wimbo unaokiri Imani yetu ndani ya Bwana wetu Yesu Kristo ambaye kwa upendo wake mkuu alikubali kuja duniani kuteseka kwa ajili kufuta dhambi zetu.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu na hakika utabarikiwa!

 

Download Audio

Social Media
Facebook: Anu Akinlagun
Instagram: @anubewaji_sings
Twittter: @anubewaji_sings

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top