Connect with us

Audio: Antony M – Niko Easy

Muziki

Audio: Antony M – Niko Easy

Kutoka mjini Kisumu nchini Kenya, leo nimekusogezea wimbo uitwao “Niko Easy” kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa Gospel HipHop anayefahamika kwa jina la Antony M, muziki huu umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Cornrows.

Niko Easy ni wimbo unaomzungumzia Mungu akiwa ni mtoaji wa kila kitu katika maisha yetu hasa pale mtu anapomuamini na kumtumikia katika roho na kweli.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao nina imani kuwa kwa namna moja ama nyingine utakusaidia kubadilisha maisha yako kuanzia leo, Ameen.

Download Audio

Social Media
Facebook: Antony M Music
Instagram: @antonymmusic
Twittter: @antonymmusic
Youtube: ANTONY M MUSIC

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top