Audio

Music Audio: Anthony Nkondola – Usinipite Bwana

Kutoka jijini Dar es salaam leo kwa mara ya kwanza namtumbulisha kwako mwimbaji mpya katika kiwanda cha muziki wa Injili Tanzania akifahamika kwa jina la Anthony Nkondola na huu ni wimbo wake wa kwanza uitwao Usinipite Bwana, muziki ukiwa umetayaarishwa ndani studio za Winners Records chini ya mikono ya prodyuza Tony Music.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao nina imani kuwa utakubariki na kukufariji sana. Karibu!!

 

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko wasiliana na mwimbaji Anthony Nkondola kupitia:-
Simu/WhatsApp: +255 658 079 155 au +255 759 784 127
Facebook: Anthony Nkondola
Youtube: Anthony Nkondola
Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Music Audio: Ritha Komba - Rafiki

Next post

Audio Music: Jesca Gazuko - Bwana Amefanya