Connect with us

Audio: Annoint Essau Amani-Nitakumbukwa Na Nini?

Muziki

Audio: Annoint Essau Amani-Nitakumbukwa Na Nini?

Shalom! leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tunaitambulisha kwako wimbo mpya unaoitwa Nitakumbukwa na Nini kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Annoint Essau Amani ikiwa ni wimbo wake wa kwanza kwa mwaka 2017 uliotengenezwa ndani ya studio ya Pamoja Records kutoka jijini dar es salaam.

Akizungumza na Gospomedia.com, Annoint Essau amesema kuwa wimbo huu mpya ni wenye kugusa zaidi maisha yake lakini bado anaamini kupitia huduma yake ambayo ameanza nayo mwaka huu ataweza kuwatia moyo wengine ambao pia wanapitia magumu mbalimbali na amewasihi kutokata tamaa na wimbo huu ambao ameuachia leo tarehe 1.01.2017 ni zawadi maalumu kwao ili uweze kuwa baraka juu yao kwa mwaka huu wa 2017.

gospomedia.com tunakukaribisha kuusikiliza na kuupakua wimbo huu na hakika utabarikiwa sana pia usiache kuwashirikisha na wengine kwa kadri uwezavyo ili injili iweze kuwafikia watu wengi zaidi mahali pote duniani. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na Annoint Essau wasiliana naye kupitia:
Simu namba/WhatsApp: +255 755 099 942
Facebook: Annoint Essau
Instagram: @annointessau

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top