Connect with us

Video: Anna Maboya – Hakuna Usiloweza

Anna Maboya - Hakuna Usiloweza

Muziki

Video: Anna Maboya – Hakuna Usiloweza

Anna Maboya - Hakuna Usiloweza

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tumekusogezea video mpya ya wimbo mzuri wa kuabudu uitwao Hakuna Usiloweza kutoka kwa mwimbaji Anna Maboya.

“Hakuna Usiloweza ni wimbo unaoonyesha ukuu wa Mungu katika maisha yetu haijalishi ni magumu mangapi Umeyapitia, Mungu kwake hakuna asiloliweza ukimwamini. Ungana na mimi kuimba Hakuna Usiloliweza na Mungu wa mbinguni aKubariki sana.” – Anna Maboya

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana Anna Maboya kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 658 266 786
Facebook: Anna Maboya
Instagram: @annamaboya
Youtube: Anna Maboya

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

GUARDIAN ANGEL - NI TABIBU_audio

Muziki

AUDIO | GUARDIAN ANGEL – NI TABIBU

By September 22, 2021

TRENDING

To Top