Video | Audio: Music Anicia Kinemo - Wastahili Sifa - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Music Anicia Kinemo – Wastahili Sifa

Audio

Video | Audio: Music Anicia Kinemo – Wastahili Sifa

Kutoka kwenye albam yake ya kwanza iitwayo Ninakuabudu kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili Anicia Kinemo kutoka jijini Dar es salaam ameachia video ya wimbo uitwao Wastahili Sifa.

Wimbo huu upo ndani ya albamu aliyoiachia mwishoni mwa mwaka 2017 ikiwa katika mfumo wa Audio CD na Video DVD.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii ambayo ni hakika kuwa utabarikiwa, Ameen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Anicia Kinemo kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 717 054 246
Facebook: Anicia Kinemo
Youtube: Anicia Kinemo

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top