AudioVideo

Video | Audio: Angel Magoti – NARA (Swahili)

Baada ya kimya kidogo toka alipoachia video ya wimbo wake uitwao Fuata Njia mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania Angel Magoti kwa mara ya kwanza katika mwaka 2018 ameachia video ya wimbo uitwao NARA ikiwa ni marudio ya wimbo ulioimbwa na mwimbaji maarufu kutoka nchini Nigeria anayefahamika kwa jina la  Tim Godfrey akiwa amemshirikisha Travis Greene.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii na hakika utabarikiwa!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Angel Magoti kupitia
Simu/WhatsApp: +255 714 531 444
Facebook: Angel Danny Magoti
Instagram: @angelmagoti
YouTube: Angel Magoti

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Daudi Mwanisenga - Msikilize Mungu

Next post

Audio: Oliva Ngailo - Ni Kwa Neema Ya Mungu