Video: Angel Magoti - Asante Bwana - Gospo Media
Connect with us

Video: Angel Magoti – Asante Bwana

Video

Video: Angel Magoti – Asante Bwana

Kutoka kwa mkali wa sauti Angel Magoti ambaye kwa mara nyingine tena leo tumekusogezea video ya wimbo wake uitwao Asante Bwana hii ikiwa ni moja kati ya kazi zake zilizo katika mfufulizo wa kuachiwa kwa mwaka 2018, 2019.

“Tunapozihesabu baraka zetu tangu tuingie mwaka mpya, Tunajihesabu kuwa sisi ni watu tuliobarikiwa sana kwa kuiona siku hii(mwaka huu) na kwa hili tunastahili kutoa shukrani zetu kwa Baba yetu wa Mbinguni ambaye ametubariki kwa zawadi hii ya uhai na maisha, Heri ya mwaka mpya.” – alisema Angel Magoti

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii na hakika utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Angel Magoti kupitia
Simu/WhatsApp: +255 714 531 444
Facebook: Angel Danny Magoti
Instagram: @angelmagoti
YouTube: Angel Magoti

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

To Top