Habari

Angel Bernad: Wimbo wa “NEED YOU TO REIGN” niliupata nikiwa Studio.

Katika ukarasa wake wa facebook star wa muziki wa Gospo,Angel Bernad amefunguka kuhusiana na wimbo wake wa Need to reign na ujio wa DVD yake tarehe 10 May 2015.hivi ndivyo alivyoandika.

“Nawashukuruni sana kwa kunisaidia kunijuza juu ya song iliyowahudumia kutoka katika album ya New day.
NEED YOU TO REIGN imetajwa zaidi.
Huu wimbo niliupata palepale studio. I heard the beat and hapohapo maneno yakaflow… Yes, ilikuwa ni desire yangu sana kujazwa zaidi Na zaidi, nilikuwa na kiu sana ya kukutana na Mungu katika hicho kipindi.
Mungu alifanyika halisia zaidi kwangu after that song, ikawa ni Maombi yangu na raha yangu zaidi na zaidi.
My message: Kiu yangu ni kuongezeka zaidi katika kumjua Mungu. I believe kama tusipoishi Kwa mazoea kuna mambo zaidi tutayajua na kuyapata kupitia Mungu.
Namshukuru Mungu sana Kwa kuwahudumia. Get ready for DVD launching tarehe 10 may.”
Kila la kheri dada angel.

Advertisements
Previous post

EVENT: ATENDAYE TOUR by PAUL CLEMENT ON 17th MAY 015.

Next post

GOSPO ICON OF THE WEEK: CHIEF HOPE TOKA YESU OKOA MITAA.