AudioVideo

Video | Audio: Angel Bernad-Nikumbushe Wema Wako

Kutoka Arusha Tanzania tunautambulisha wimbo wa NIKUMBUSHE WEMA WAKO kutoka kwa mwimbaji anayefanya vizuri kwenye tasnia ya muziki wa Injili mwimbaji huyu anafahamika kwa jina la Angel Benard wimbo huu umetengenezwa ndani ya studio ya DOXA Music na video ya wimbo huu pia imeongozwa na director anayejulikana kwa jina la EINXER kutoka studio ya Mr.Maxum Vision.

Tunakukaribisha kuupakua(kuudownload) wimbo huu, kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili wapate kubarikiwa kupitia ujumbe wenye baraka ulio katika wimbo huu wa NIKUMBUSHE WEMA WAKO kutoka kwa mwimbaji mahiri Angel Benard.

Itazame video ya Nikumbushe Wema Wako hapa

DOWNLOAD

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Angel Benard kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 759 444 488
Facebook: Angel Bernad
Twitter: angelbenard
Instagram: @angelbenard
YouTube: Angel Bernad

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

MWIMBAJI CHIPUKIZI USIKOSE KUSHIRIKI TALENT SHOW KUTOKA A'S STUDIO MBEZI BEACH. TAREHE 10.09.2016.

Next post

DOWNLOAD AUDIO: NELLY MUSIC-KU-DEAL NA MIMI