Video | Audio: Andenyi – Dhahabu
Mwaka 2018 unazidi kuwa na mafanikio kila iitwapo leo katika huduma ya mtumishi wa Mungu Florence Andenyi kutoka jijini Nairobi Kenya ambaye anaendelea kufanya vizuri katika anga ya muziki wa Injili Afrika mashariki, kwa mara nyingine tena ameachia video yake mpya iitwayo Dhahabu , video ikiwa imeongozwa na studio za M-Town Production na muziki ukiwa umetayaarishwa na prodyuza Alain Maindo akishirikiana na prodyuza paulo.
Nina imani utabarikiwa na video ya wimbo huu, kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama na kupakua. Barikiwa!
Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Florence Andenyi kupitia:
Facebook: Florence Andenyi
Instagram: @florencendenyi
Twitter: @andenyiflorence
Advertisements