AudioVideo

Video | Audio: Amani – My God

Baada ya kufanya vizuri mwezi Julai kwa mara nyingine tena tumekusogezea video ya wimbo mzuri uitwao My God kutoka kwa mwimbaji Amani Gospel kutoka jijini Nairobi Kenya.

Video hii imeongozwa na director Sammy D kutoka studio za Trued Pictures na muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza mahiri Teddy B.

Zaburi 105
1 Mshukuruni Mwenyezi-Mungu, tangazeni ukuu wake; yajulisheni mataifa mambo aliyotenda! 2
Mshangilieni, mwimbieni Mungu sifa; simulieni matendo yake ya ajabu!

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema na hakika utabarikiwa na kuinuliwa kila wakati, Bwana Yesu asifiwe!

Download Audio

Social Media
Facebook: Amani Musician
Instagram: @amani_singer
Youtube: Amani Gospel

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Audio: Lilian Kimola - Wewe ni Mungu

Next post

Audio: Rogate Kalengo Feat. The Xplicits - More than Enough