AudioVideo

Video | Audio: Amani G Feat. Pitson – Ni Poa

 

Amani Gracious ni mtoto wa miaka 13 kutoka jijini Nairobi Kenya akiwa ni miongoni mwa waimbaji wadogo zaidi katika huduma ya muziki wa Injili Afrika Mashariki aliyejizoelea umaarufu mkubwa kupitia kazi ambazo tayari ameshaziachia ikiwemo Sitosahau na In Love, Na sasa kwa mara nyingine tena mwimbaji huyo ameachia video ya wimbo wake mpya iitwayo Ni Poa akiwa amemshirikisha mwimbaji mahiri Pitson.

Video hii imeongozwa na True D Picture, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Jacky B.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii na hakika utabarikiwa, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Social Media
Facebook: Amani G
Instagram: @amani_g_
Twittter: @amani_g_
Youtube: Pine Creek Records

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Walter Chilambo - Unaniona

Next post

Video | Audio: Music Anicia Kinemo - Wastahili Sifa