Audio
Audio: Amanda Ofori – Majesty
Kutoka jijini London Uingereza leo tumekusogezea wimbo mpya uitwao “Majesty” Kutoka kwa mwimbaji, mwandishi, mtangazaji wa Redio na Televisheni marufu kwa jina la Amanda Ofori.
Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Crown Lane Group chini ya mikono ya prodyuza Whiteblock.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri tukiamini kuwa utakubariki, Amen.
Download AudioSocial Media
Facebook: Amanda Ofori
Instagram: @amandaofori
Youtube: Amanda Ofori
