Connect with us

Video: Alice Kimanzi – Surrender

Alice Kimanzi - Surrender

Muziki

Video: Alice Kimanzi – Surrender

Alice Kimanzi - Surrender

Kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya Alice Kimanzi ametusogezea video(live version) ya wimbo uitwao Surrender.

“Gal 2:20 “I have been crucified with Christ and I no longer live, but Christ lives in me….” – Alice Kimanzi

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki na kukugusa kwa namna ya kipekee, Amen.

Social Media
Facebook: Alice Kimanzi
Instagram: @alicekimanzi
YouTube: Alice Kimanzi

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top