Habari

Album Ya Audio Ya Saimon Rweikiza Iko Sokoni Sasa Unaweza Pata Nakala Yako

Mwimbaji wa nyimbo za injili Saimon Rweikiza maarufu kama mbarikiwa kutoka Arusha The City Of Praise ameiambia GospoMedia kuwa baada ya uzinduzi wake uliofanyika tar 30 ya mwezi wa nne Album yake sasa inapatikana.

Rwaikiza pia ametumia nafasi hii kuwashukuru wote waliojitokeza kwenye uzinduzi wake huo wa Album yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la Mbarikiwa.

Pia Rweikiza ameweka wazi kuwa baada ya uzinduzi huu anajiandaa sasa kufanya album ya video na zitakapo kamilika zitakuwa sokoni tayari kwa wewe unayependa huduma yake kujipatia nakala yako.

kwa mahitaji ya CD unaweza wasiliana na Saimon Rweikiza kupitia 0768221353 au 0653624729  au kwenye mitandao ya kijamii kama

Facebook ; Saimon Rweikiza

Instagram; Saimon Rweikiza

chini hapa ni baadhi ya picha za matukio ya uzinduzi wake uliofanyika tar 30 ya mwezi wa nne jiini arusha

sehemu ya watu waliohudhuria uzinduzi

famillia ya Rwaikiza Mchungaji ,mgeni rasmi na mc wakati wa uzinduzi

baadhi ya watu waliojipatia cd ya mbarikiwa kwenye uzinduzi

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Download Music Audio: Boaz Charles - Ndoa Ibarikiwe

Next post

Tazama Video | Download Music Audio: Nassoro Mnyali - Kwake Yeye