Connect with us

Audio: Ajuwae Onesmo Feat. Emmanuel Mgaya – Kweli

Muziki

Audio: Ajuwae Onesmo Feat. Emmanuel Mgaya – Kweli

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza leo tumekusogezea wimbo uitwao Kweli kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Ajuwae Onesmo akiwa amemshirikisha mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgaya.

“Nimeamua kuimba wimbo uitwao KWELI niliomshirikisha Masanja (Emmanuel Mgaya) kwasababu YESU huyu baraka zake ni za kweli, ulinzi wake baraka zake na ahadi zake ni kweli na amina.” – alisema Ajuwae Onesmo

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa, Amen.

 

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Ajuwae kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 758 576 605 na +255 657 959 501
Facebook: Ajuwae Onesmo
Instagram: @ajuwaeonesmo
Youtube: Ajuwae Onesmo

1 Comment

1 Comment

  1. EMMANUEL MNANKA

    November 14, 2019 at 10:49 am

    Habari naomba tuwasiliane kwa 0769141111 naitwa Emmanuel mnanka.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top