Audio

Audio: Aijay Feat. Ugodrumz – I Am Blessed

Kutoka nchini Nigeria leo tumekusogezea wimbo mzuri wa sifa uitwao I Am Blessed kutoka kwa mwimbaji anayefahamika kwa jina la Aijay akiwa amemshirikisha rapa Ugodrumz.

I AM BLESSED ni wimbo wake wa kwanza kuachia kwa mwaka 2018, Ni wimbo unaowakumbusha wakristo juu ya vile walivyobarikiwa na wanavyopaswa kutambua kuwa hakuna mtu anayeweza kulaani kile Mungu alichobariki.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri tukiamini kuwa utakubariki na kukuinua kwakuwa wewe umebarikiwa!

 

Download Audio

Social Media
Facebook: Aijay Ogbonna
Instagram: @aijayojay

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Baada ya Joel Lwaga na Chris Shalom, Sasa ni zamu ya Jessica BM na Paul Clement

Next post

Video | Audio: Progress Effiong - Na God