Connect with us

Video: Ada – The Final Say

Ada - The Final Say

Muziki

Video: Ada – The Final Say

Ada - The Final Say

Mwimbaji wa kimataifa akitokea nchini Nigeria maarufu kama Ada ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao The Final Say ikiwa ni moja kati ya nyimbo zitakazopatikana kwenye EP yake mpya iliyoachiwa tarehe 26 April 2019 ikiwa na mkusanyiko wa nyimbo tano ambazo ni pamoja na “No One Like You”, “Beautiful”, “See What The Lord Has Done” na “Faithful God”.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kuitazama video hii njema ambayo tunaamini kuwa itakubariki, Amen.

Social Media
Facebook: Ada Ehi
Instagram: @adaehi
Twittter: @adaehi
Youtube: Ada

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top