Connect with us

Audio: Ada – See What The Lord Has Done

Ada - See What The Lord Has Done

Muziki

Audio: Ada – See What The Lord Has Done

Ada - See What The Lord Has Done

Mwimbaji wa kimataifa akitokea nchini Nigeria maarufu kama Ada ameachia wimbo wake mpya uitwao See What The Lord Has Done ikiwa ni moja kati ya nyimbo inayopatikana kwenye EP yake mpya iliyoachiwa tarehe 26 April 2019 ikiwa na mkusanyiko wa nyimbo tano ambazo ni pamoja na “No One Like You”, “Beautiful”, “The Final Say” na “Faithful God”.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa itakubariki, Amen.

Social Media
Facebook: Ada Ehi
Instagram: @adaehi
Twittter: @adaehi
Youtube: Ada

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top