Audio: Abel Success - Gospel Reggae - Gospo Media
Connect with us

Audio: Abel Success – Gospel Reggae

Audio

Audio: Abel Success – Gospel Reggae

Kutoka nchini Nigeria leo nimekusogezea wimbo mzuri uitwao Gospel Reggae kutoka kwa mwimbaji na mtumishi wa Mungu anayefahamika kwa jina la Abel Success. Gospel Reggae ni wimbo wa kusifu na kuabudu ukiwa ni moja kati ya wimbo utakaopatikana kwenye album yake ya nne iitwayo “Light In The Dark” inayotarajiwa kuachiwa hivi karibuni.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao nina hakika utaufurahia na kukubariki siku ya leo, Ameen.

 

Download Audio

Social Media
Facebook: Abel Success
Instagram: @abelsuccess
Twittter: @abelsuccess
WhatsApp: +2349032558626

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

More in Audio

To Top