Video | Audio: Abbey Mickey - Nyota Yangu - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Abbey Mickey – Nyota Yangu

Audio

Video | Audio: Abbey Mickey – Nyota Yangu

 

Kutoka jijini Nairobi Kenya leo tumekusogezea video ya wimbo uitwao Nyota Yangu kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Abbey Mickey.

Video hii imeongozwa na director KTHOMAS muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza DIBBY SYK.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa utabarikiwa, Ameen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasilianA zaidi na mialiko ya kihuduma watiliana na mwimbaji Abbey Mickey kupitia:
Simu/WhatsApp: +254 727 810616
Facebook: Abbey Mickey
Instagram: @abbeymickeymusiq
Youtube: abbey mickey

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top