Audio: Audio: Aaron K - Yatapita - Gospo Media
Connect with us

Audio: Audio: Aaron K – Yatapita

Audio: Audio: Aaron K – Yatapita

Aaron K ni moja kati ya waimbaji wanaoendelea kufanya vizuri katika huduma ya muziki wa Injili nchini Tanzania ambaye hivi sasa amaeachia wimbo wake mpya uitwao Yatapita, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za New Door Studios.

Yatapita ni wimbo unaompa mtu matumaini mapya juu ya mapito anayopita bila kujali ni kiasi amekuwa akiteseka katika mapito hayo, Matumaini yetu yabaki kwa Mungu tu kwakuwa haya yote ni ya muda tu hakuna linalodumu milele.

“Wimbo huu Una ujumbe wakutia Moyo kwa yule aliye Kata tamaa akizani hakuna tena tumaini.. Tumaini lipo na jambo lolote lile ambalo linaonekana gumu yapasa kujua ni la mda tu na lina pita” – alisema Aaron K

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa, Amen.

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Aaron K kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 718 836 372
Facebook: Aaron-K
Instagram: @aaron_k_official
Youtube: Aaron K Official TZ

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top