Audio: Aaron K - My God is Big - Gospo Media
Connect with us

Audio: Aaron K – My God is Big

Audio

Audio: Aaron K – My God is Big

Baada ya kufanya vizuri kupitia wimbo wake uitwao Grace aliouachia Januari 2018 kwa mara nyingine tena mwimbaji na mtayaarishaji wa muziki wa Injili Aaron K kutoka mjini morogoro leo ameachia wimbo mwingine mzuri uitwao My God is Big(Mungu wangu ni Mkuu) ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio yake inayofahamika kwa jina la KY studios.

“Huu ni wimbo unaomaanisha kwamba Mungu wetu tunaye mtumikia ni mkubwa anaweza fanya jambo lolote kwa wakati wowote maishani mwetu hivyo hatupaswi kuogopa” – Alisema Aaron K

Nina imani kuwa utaufurahia na kubarikiwa kupitia wimbo huu. karibu kusikiliza na kupakua… Barikiwa!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Aaron K kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 718 836 372
Facebook: Aaron-K
Instagram: @aaron_k_official

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top