Audio

Audio: Aarok K – Panda Kwa Machozi

Kutoka mjini Morogoro kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili Aaron K ameachia wimbo wake mpya uitwao Panda Kwa Machozi, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za New Door.

“Katika kazi zetu tuzifanyazo yatupasa kujua kuna wakati wa mapando na wakati wamavuno..hivyo yatupasa kufanya kazi zetu na kazi ya Bwana kwa nguvu zote huku tukijua Bwana atatulipa utakapofika wakati wa mavuno wa yale tuliyo yafanya.” – alisema Aaron K

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Aaron K kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 718 836 372
Facebook: Aaron-K
Instagram: @aaron_k_official
Youtube: Aaron K Official TZ

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Music Anicia Kinemo - Wastahili Sifa

Next post

Video | Audio: Hekima Lukosi - Achana Nao