AudioVideo

Video | Audio: Sayuni Mrita – Sifa Kwa Mungu

Kutoka mjini Morogoro leo nimekuletea video nzuri kutoka kwa mwimbaji mpya katika kiwanda cha muziki wa Injili nchini Tanzania anayefahamika kwa jina la Sayuni Mrita video ya wimbo huu inaitwa Sifa Kwa Munguikiwa ni moja ya wimbo unaopatikana kwenye album yake mpya iitwayo “NINACHOTAKA” iliyo kwenye mfumo wa DVD.

Video hii imeongozwa na director Amani Joseck na Jordan Joseck kutoka studio ya Enzi Films na audio ikiwa imetengenezwa na producer Steven kutoka studio za AIC Chang’ombe.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kuitazama video hii, kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao nina imani kuwa utakubariki na kukuinua, Ameen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Sayuni Mrita kupitia
Simu/WhatsApp: +255 655 994 992 au +255 686 815 115
Facebook: Sayuni Mrita
Instagram: @Sayuni Mrita

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Pastor Mwambona Feat Ashley Nassary - Mwamba

Next post

Tazama Video | Download Music Audio: Boaz Charles - Ndoa Ibarikiwe