AudioVideo

Video | Audio: Karvary A. Kameka – Tumika Kwa Yesu

Kutoka mjini Tanga leo nimekusogezea video ya wimbo uitwao Tumika Kwa Yesu kutoka kwa mwimbaji mpya katika kiwanda cha muziki wa Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Karvary A. Kameka, Video ikiwa imeongozwa na director Musoka na muziki ukiwa umetayaarishwa ndani ya za Kameta studio.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii na kupakua wimbo huu ambao nina imani utakubariki, Barikiwa.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Karvary Kameka kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 759 408 088
Facebook: karvary Ambindwile
Instagram: @karvarykameka
Twittter: @karvarykameka
Youtube: Karvary Kameka

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Mwamini Muyero-Wema wa Mungu

Next post

Video | Audio: Waba Shadra - Simama Imara