Video | Audio: Eliud Mbarikiwa - Nilindie - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Eliud Mbarikiwa – Nilindie

Audio

Video | Audio: Eliud Mbarikiwa – Nilindie

Baada ya kimya cha muda mrefu mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Eliud Mbarikiwa kutoka jijini Nairobi Kenya ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Nilindie, Video ikiwa imeongozwa na director G-Bluster kutoka studio za U&I Media, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Paulo wa nchini Kenya.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii, nikiamini kuwa utabarikiwa.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Eliud Mbarikiwa kupitia:
Simu/WhatsApp: +254 715 243205
Facebook: Eliud Mbarikiwa
Instagram: @eliudmbarikiwa
Twittter: @eliudmbarikiwa
Youtube: ELIUD MBARIKIWA OFFICIAL

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top