Connect with us

Audio: Boazy Anthony – Anza Leo

Audio

Audio: Boazy Anthony – Anza Leo

Baada ya kimya cha muda wa takribani mwaka mmoja toka alipoachia wimbo wimbo wake uitwao Wewe ni Mungu mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Mwanza Boazy Anthony kwa mara ya kwanza katika mwaka 2018 ameachia wimbo wake mpya uitwao Anza Leo, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Stimulation sound chini ya mikono ya prodyuza Gtwins.

Ni vizuri katika maisha tukaanza na Mungu kwa kila jambo, Namuomba Mungu aanze nasi kila wakati kupitia wimbo huu, Naamini Mungu atakugusa na kuanza na wewe katika kila eneo, Mungu ataanza nawe kupitia wimbo huu mzuri wenye nguvu za Mungu, Anza leo kumwambia Mungu sasa huku ukiamiani katika yeye na hakika atabadili historia yako.” – alisema Boazy Anthony

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza wimbo huu nikiamini kuwa utakugusa na kukubariki, Bwana Yesu Asifiwe!

 

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Boazy Anthony kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 764 244 821
Facebook: Boazy Anthony
Instagram: @bey2_boazy_anthony

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

More in Audio

To Top