Connect with us

Audio: Waba Feat. Harald – Hakuna Matata

Audio

Audio: Waba Feat. Harald – Hakuna Matata

Baada ya kufanya vizuri kupitia wimbo na video yake iitwayo Simama Imara Mwimbaji, mtayaarishaji na mwandishi wa nyimbo za Injili nchini Norway Waba Shadra kwa mara nyingine tena ameachia wimbo wake mzuri uitwao Hakuna Matata akiwa amemshirikisha rapa Harald kutoka Norway. Muziki huu umetayaarishwa na mikono ya prodyuza LizerClassic na kurekodiwa ndani ya studio za Waba Media Pro.

Mhubiri 11:9
Ewe kijana, furahia ujana wako, moyo wako, uchangamke wakati ungali kijana. Fuata mapenzi ya moyo wako na upeo wa macho yako. Lakini kumbuka kwamba Mungu atakuhukumu kadiri ya hayo yote.

Nina imani kuwa utabarikiwa na kuinuliwa kila utakapokuwa unasikiliza wimbo huu, Bwana Yesu Asifiwe!

 

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Waba Shadra kupitia:
Simu/WhatsApp: +47 462 69 248
Facebook: Waba Shadra
Instagram: @wabashadra
Youtube: Waba Media Pro

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top