Connect with us

Audio: Sulavye-Come Back Home

Audio

Audio: Sulavye-Come Back Home

Kutoka katika huduma ya muziki wa Injili nchini Zambia leo nimekuletea wimbo uitwao Come Back Home kutoka kwa rapa wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Sulavye, Muziki ukiwa umateyaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Cashroll.

Mwanangu, jiangalie leo, Kwa nini umekwenda mbali, Nilikuwa na matumaini ya kwamba usingekaa mbali nami, Mwanangu machozi yote yaliyonimwagika, Yote niliyovumilia yalikuwa bure? Haya ni baadhi ya maneno yanayopatikana kwenye wimbo huu uitwao #ComeBackHome

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza wimbo huu nikiamini kuwa utabarikiwa.

 

Download Audio

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top