Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Same Oshodi – Alade Ogo

Audio

Audio: Same Oshodi – Alade Ogo

Alade Ogo ni wimbo mpya kutoka kwa kundi la mapacha wawili wanaofahamika kwa jina la Same Oshodi wakitokea katika huduma ya muziki wa Injili nchini Nigeria, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Rox Nation chini ya mikono ya prodyuza SMJ.

Alade Ogo ni maneno yenye asili ya lugha ya Igbo inayozungumzwa nchini Nigeria ikimaanisha “Mvikwa wa taji la utukufu” ambapo katika wimbo huu umesifu na kulitukuza jina la Bwana wetu Yesu Kristo kwa nguvu na uwezo wake juu ya maisha yetu.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza wimbo huu nikiamini kuwa utakubariki na kukubariki, Ameen.

 

[easy_media_download url=”https://gospomedia.com/wp-content/uploads/2018/07/Same-Oshodi-–-Alade-Ogo.mp3″ text=”Download Audio” force_dl=”1″]

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 10 ON GOSPOMEDIA

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,309 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top