Audio: Mpikwa-Violeti - Gospo Media
Connect with us

Audio: Mpikwa-Violeti

Audio

Audio: Mpikwa-Violeti

Norris Mpikwa maarufu kama Mpikwa ni mwimbaji wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa Afro-Pop akitokea nchini Zambia na huu ni huu wimbo wake wa kwanza kwa mwaka 2018 uitwao Violeti, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za lebo ya The Proof  Nation chini mikono ya prodyuza Solomon Plate.

Violeti ni wimbo unaomuelezea binti aliyemuacha Mungu na kuamua kuishi maisha ambayo hayampendezi Mungu hasa kwa kuamua kuishi maisha ya uzinzi na mume wa mwanamke mwingine, Hivyo upitia wimbo huu mtumishi wa Mungu Mpikwa anamkumbusha na kumsisitiza Violet juu ya kumrudia Mungu na kuenenda sawa sawa na mapenzi yake, Huu ni wimbo pia unaowagusa mabinti wenigne wote wenye roho ya tamaa juu ya wanaume wa watu, Anasisiwasisitiza kuwa karibu zaidi na Mungu na kuacha matendo ya dhambi yanayowafanya kuingia kwenye mitego ya shetani na kuangamia.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri nikiamini kuwa hata wewe utakubariki!

 

Download Audio

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top