AudioVideo

Video | Audio: Havoc Musiq – Atatenda

Kutoka jijini Nairobi Kenya leo nimekuletea video ya wimbo uitwao Atatenda kutoka kwa mwimbaji mpya anayefahamika kwa jina la Havoc Musiq, Video hii imeongozwa na director WB kutoka studio za Red Clarity na Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Krucial Sounds chini ya mikono ya prodyuza Johnttez.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii, Barikiwa!

Download Audio

Social Media
Facebook: Havoc Musiq
Instagram: @havocmusiq
Twittter: @havocmusiq
Youtube: Havoc Musiq

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Theofrida Gervas - Kama Siyo Wewe

Next post

Audio: Minister Poi – Oluwa is Involved