Audio: Rigan Sarkozi - Asante - Gospo Media
Connect with us

Audio: Rigan Sarkozi – Asante

Audio

Audio: Rigan Sarkozi – Asante

Baada ya kimya cha muda mrefu mwimbaji Rigan Sarkozi kutoka katika huduma ya muziki wa Injili nchini Kenya ameachia wimbo wake mzuri uitwao Asante, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Mastola Music chini ya mikono ya prodyuza Frank Mastola.

Asante ni wimbo uliojaa maneno ya sifa na shukrani kwa Bwana wetu Yesu Kristo kwa matendo yake makuu aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya katika maisha yetu kila siku, kila wakati. Zaburi 9:11 Mwimbieni sifa Mwenyezi-Mungu akaaye Siyoni. Yatangazieni mataifa mambo aliyotenda!

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza wimbo huu wa sifa na hakika utakubariki na kukugusa kwa namna ya kipekee, Bwana Yesu asifiwe!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Rigan Sarkozi kupitia:
Simu/WhatsApp: +254 728 484 154
Facebook: Rigan Sarkozi Official
Instagram: @rigan_sarkozi_official
Twittter: @rigansarkozi
Youtube: RIGAN SARKOZI R-G TV

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top