Connect with us

Audio: Minister Poi – Oluwa is Involved

Audio

Audio: Minister Poi – Oluwa is Involved

Kutoka katika huduma ya Muziki wa Injili nchini Nigeria leo nimekueletea wimbo uitwao Oluwa is Involved kutoka kwa mtumishi wa Mungu anayetambulika kwa jina la Minister Poi, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Dr. Roy.

Oluwa ni neno la lugha ya Igbo inayozungumzwa nchini Nigeria ikimaanisha Mungu, Ambapo katika wimbo huu umeeleza kuhusu uthibitisho wa neno la Mungu kutoka katika kitabu cha Mathayo 28:20 “Wafundisheni kushika maagizo yote niliyowapeni. Nami nipo pamoja nanyi siku zote; naam, mpaka mwisho wa nyakati.”

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza wimbo huu nikiamini kuwa utabarikiwa kila wakati utakapokuwa unasikiliza, Amen.

 

Download Audio

Social Media
Facebook: Minister Poi
Instagram: @ministerpoi
Twittter: @NPoi1

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top